Prisca akiingia ukumbini katika sherehe ya pongezi kwa kukamata nondo iliyofanyikasiku ya Jumamosi June !, 2019 Forestville, Maryland. Prisca amekamata nondo katika chuo kikuu cha Maryland (University of Maryland Eastern Shore)
Marafiki wa Prisca wakimsindikiza kuingia ukumbini.
Prisca akiwa na familiayake.
Familia ya Prisca ikiwa nae katika picha wakati alipoingia ukumbini'
Juu na chini Prisca akicheza kwa madaha alipokua akiingia ukumbini.
Prisca akiongea jambo na familia.
Familia ilipokua ikiingia ukumbini.
Familia ikiwa inaingia ukumbini
Familia ikiwa tayari kumlaki Prisca.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Keki za pongezi.
Wageni meza kuu
Wageni meza kuu wakibadilishana mawazo
Wageni meza kuu
Wageni meza kuu katika picha.
Mshereheshaji tuma akifama vitu vyake.
No comments:
Post a Comment