UPDATES MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI DADA ASYA MWILIMA( BI LEYLA AWADH MWILIMA)
Ndugu wanajumuiya familia ya Mwilima inawataarifu kuwa kutakuwa na hitma ya marehemu mama yao mpendwa Bi Leyla Awadh Mwilima siku ya Jumamosi tarehe 8, mwezi huu wa sita
(6/8/2019).
Hitma itaanza saa tisa kamili alasili na kumalizika saa kumi na moja jioni
(3:00PM-5:00PM).
ADDRESS YA SHUGHULI NI;
1144 rosedale Avenue
BRONX, NY 10472
Wanajumuiya, ndugu, jamaa, na marafiki tunaombwa kuungana na familia ya Mwilima siku hiyo kuwafariji.
Kwa taarifa zaidi,
ASYA MWILIMA - (347) 377-1739
SEIF AKIDA - (929) 450-1315
ADELA MWAKASELE - (917) 860-4213
SEIF AKIDA
MWENYEKITI NYTC
No comments:
Post a Comment