ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 11, 2019

WAZIRI WA NISHATI AFANYA ZIARA SHINYANGA, AWASHA UMEME VIJIJINI

Waziri wa Nishati nchini Dkt. Medard Kalemani amefanya ziara mkoani Shinyanga kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Umeme Vijijini (REA),kufuatilia uimara wa umeme pamoja na kuhamasisha wananchi kulipia shilingi 27,000/= ili waunganishiwe umeme kwenye nyumba zao.

No comments: