ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 24, 2019

SHEREHE YA MIAKA 16 YA NDOA YA LESLEY NA JULIE

Loveness na Aziz wakifungua shampeni kuashiria mambo ni mubashara rasmi kufunguliwa kwa sherehe ya kusherehekea miaka 16 ya ndoa ya Lesley na Juliana Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 20, 2019 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki. Picha zote na Andrew Matema.
Julie na Lesley wakiwa katika picha ya pamoja.
Julie akiwa amependeza.
 
Picha ya pamoja.
 
Picha ya familia.
Julie akiwa ametanguliza familia walipokua wakiingia ukumbini uliopo ndani ya mjengo wao.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
Wageni wakiwalaki kwa shangwe.
Wakinyeshana shampeni.
Wakikata keki.
Wakilishana keki.
Wakichumu.
Wakilishana keki

Lesley akitoa neno la shukurani.
 
MC Saria akitema cheche.
Mama Kombe akitoa neno kwa Lesley naJulie.
Mama kombe akionyesha upendo kwa Julie.
Mama Kombe akionyesha upendo kwa Lesley.
 
MzeeKasembe akiongea machache kama rafiki wa familia.
Meza hadi meza kutoa mkono wa shukurani.
 
 
 

No comments: