ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 24, 2019

SHEREHE YA KUZALIWA WATOTO IVAN NA IAN

 Keki ya Ian Picha zote na Andrew Matema
Keki ya Ivan

Watoto Ian na Ivan wakisherehekea siku zao za kuzaliwa siku ya Jumamosi July 20, 2019.
Ian na Ivan (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja.
Ivan akiwa katika picha ya pamoja na kaka yake Ian.
Watoto wakijumuika na Ian naIvan,
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: