ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 22, 2019

TAMWA WAFUNGUKA JUU YA NDOA NA MIMBA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

TAMWA yasema ndoa na mimba za utotoni bado ni janga nchini.

Mkurugenzi wa chama cha waandishi wa habari Tanzania TAMWA Eda Sanga amesema tatizo la ndoa na mimba za utotoni nchini bado ni kubwa na linahitaji nguvu ya pamoja kati ya serikali na wadau mbalimbali ili kukabiliana nalo.

Bi Sanga amesema hayo wakati wa mkutano wa mjumuiko wa mashirika ambayo yanatetea haki za watoto wa kike na kupinga ndoa za utotoni ambapo amesema.

Baadhi ya washiriki wa mjumuiko huo kutoka mikoa mbalimbali wamesema changamoto zinazosababisha tatizo hilo kuendelea ziko nyingi ikiwemo ugomvi wa wazazi lakini pia vyombo dola kushindwa kutoa ushirikino kikamilifu pindi wananchi wanapokwenda kutoa taarifa za matukio hayo.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

No comments: