ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 28, 2019

TASWIRA YA SPRINGFIELD BBQ BONANZA WEEKEND ILIYOPITA HUKO GREENFIELD, MA

Springfield B.b.q Bonanza mambo kama yote kama unavyoona mchoma nyama akifanya yake, mchoma nyama kama huyu wala akupi wasiwasi wa kumalizia nyama jikoni kwani mwenyewe amesha shiba tayari. Watanzania wa maeneo ya Massachusetts na familia zao walijumuhika kwenye shughuri hiyo sambamba na michezo mbalimbali kama Basketball, Soccer, Swimming na pia kulikuwa na chakula, nyama choma,  sambamda na vinywaji baridi vikipova mihoyo kutokana na kijua cha summer. Shughuli hii ufanyika kila mwaka na uku wakiwaalika majirani zao New York.
Time ya Massachusetts wakipata ukodak nabla ya kuumana na ndugu zao wa New York, Nyati Fc.
Neat Fc kutoka New York wakipata ukodak kabla ya mchezo, Tiu hizi zilitoshana nguvu kwa kufungana bao moja  kwa moja.
Basketballer kutoka New York, King Mbasha akifanya yake kiroho safi
Vijana kutoka New York wakiwa na vitendea kazi tumbo mkononi
Wakati wa mankuli kiroho safi

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi




No comments: