UPDATES MSIMA WA BABA YAKE MZAZI PENDO AMIRALI MKE WA AMIR KIUS (MZEE AMIRALY KASSAM)
Ndugu wanajumuiya familia ya Pendo Amiraly ina waarifu kutakuwa na hitma ya marehemu Baba yao mpendwa Amiraly Kassam. siku ya Jumapili tarehe 7 mwezi huu wa saba (7/7/2019). Hitma itaanza saa kumi na mbili jioni (6:00PM)).
ADDRESS YA SHUGHULI NI;
44 Madison Avenue
Jersey city nj 07304
Wanajumuiya, ndugu, jamaa, na marafiki tunaombwa kuungana na familia ya Amiraly siku hiyo kuwafariji.
Kwa taarifa zaidi,
PENDO AMIRALY.
914 714 3715
AMIRI KIUS.
551 358 2719
No comments:
Post a Comment