Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar, kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Elias Kwandikwa.
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Elias Kwandikwa ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Elias Kwandikwa akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Hamza Kasongo akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Henry Bantu akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar
No comments:
Post a Comment