Mtoto Nahla (miaka 8) mwenye asili ya kiTanzania akiwa katikapicha na cheti chake chake baada ya kuibuka mshindi katika shindano la kuoka keki (cake baking competition) lililodhaminiwa na kuratibiwana msikiti wa MCC Maryland. Nahla ni mtoto wa mTanzania Buhite Jabir mkazi wa DMV.
No comments:
Post a Comment