Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Mikutano wa
Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo
Oktoba 30, 2019.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM baada ya kikao kilichofanyika
Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo
Oktoba 30, 2019.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment