Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi, Dkt.Augustine Mahiga akiongoza Mkutano wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa nchi za Asia na Afrika(AALCO) Uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano huo Waziri Mahiga alikabidhiwa kuwa Rais wa AALCO
Katibu Mkuu kutoka Wazira ya Katiba na Sheria, Prof. Sifuni Mchome akizunguma na wageni wa Mkutano wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa nchi za Asia na Afrika(AALCO) kuhusu kutembelea vivutio vya utalii vilivyoko tanzania bara na Zanzibar mara baada ya kumaliza Mkutano huo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa nchi za Asia na Afrika(AALCO), Prof. Kennedy Gastorn akiteta jambo na Mjumbe kutoka Sekritarieti ya AALCO mara baada ya kumaliza Mkutano huo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi, Dkt.Augustine Mahiga, akisalimia na Mmoja wa Washiriki wa Mkutano wa AALCO mara baada ya kumaliza Mkutano huo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi, Dkt.Augustine Mahiga, akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa nchi za Asia na Afrika(AALCO), Prof. Kennedy Gastorn na Mkurugenzi Mkuu wa Sheria za Kimataifa kutoka Nigeria, Mhe.Wilfred Ikatari
Mwakilishi wa Mkutano wa AALCO kutoka India, akichangia hoja kwenye Mkutano wa AALCO, Uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano huo Waziri Mahiga alikabidhiwa kuwa Rais wa AALCO kwa nchi Asia na Afrika.
Mwakilishi wa Mkutano wa AALCO kutoka Japan, akichangia hoja kwenye Mkutano wa AALCO, Uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano huo Waziri Mahiga alikabidhiwa kuwa Rais wa AALCO kwa nchi Asia na Afrika.
No comments:
Post a Comment