Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, Dkt. Riyaz Haider, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mtego wa molasis, wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, kilichopo Mandewa katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Dkt. Riyaz Haider
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia pamba katika kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mbegu za pamba katika kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Dkt. Riyaz Haider.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, Dkt. Riyaz Haider, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019.(PICHA NA OWM)
No comments:
Post a Comment