ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 2, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA WILAYA PAMOJA NA KAIMU MKURUGENZI WA TAKUKURU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar
es salaam leo Novemba 1, 2019
PICHA NA IKULU

No comments: