ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 12, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MAISHA YA RAIS MSTAAFU MHE. MKAPA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli (wapili kushoto) akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Serikali ya Mapinduzin Zanzibar, (wakwaznza kulia), Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin Mkapa, Rais mdataafu wa awamu ya pili, Mhe. Ali Hassan Mwini (wapili kulia) na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Kajaya Kikwete, wakati wa uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa “My Life, My Purpose” kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Novemba 12, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli (wapili kushoto) akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Serikali ya Mapinduzin Zanzibar, (wakwaznza kulia), Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin Mkapa, Rais mdataafu wa awamu ya pili, Mhe. Ali Hassan Mwini (wapili kulia) na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Kajaya Kikwete, wakati wa uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa “My Life, My Purpose” kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Novemba 12, 2019.
Kutoka kushoto, Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, akishirikiana na marais wastaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, wakati akizindua kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa “My Life, My Purpose” kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Novemba 12, 2019.
Rais Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi huo.
Mhe. Mkapa akihutubia 
Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe MamamAnna Mkapa, wakikata keki ambapo uzinduzi huo ulikwenda sambamba na kusherehekea miaka 81 ya kuzaliwa kwa Mhe. Mkapa.
Rais Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Rais mstaafu wa awamu ya Pili Ali Hasan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, na Mke wa Mhe. Mkapa, Mama Anna Mkapa wakinyanyua juu clasi ili kumtakia heri na afya njema Mhe., Mkapa ambaye pamoja na kuzindua kitabu chake pia amesherehekea siku yake ya kuzalkiwa.
Rais Magufuli akimpongeza Mhe. Mkapa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Mhe. Mkapa. Wengine ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Balozi wa Finland nchini Mhe. Antila Sinikka na Mama Anna Mkapa pamoja na maafisa wa Ofisi Binafsi ya Mhe. Mhe. Mkapa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Novemba 12, 2019
PICHA YA KIHISTORIA, ikiakisi utaratibu mzuri wa kupokezana madaraka ya Urais katika Jamhuti ya Muungano wa Tanzania, kutoka kushoto Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa sasa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Picha hii ya Ikulu imepigwa leo Jumanne Novemba 12, 2019 wakati wa hafla ya kuzindua kitabu cha maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa cha “My Life My Purpose” kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuzindua kitabu cha Historua ya Maisha ya Mhe. Mkapa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Novemba 12, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kununua Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa kutoka kwa Bi. Lilian Christian wa kampuni ya Uchapaji ya Mkuki na Nyota baada kukizindua katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Novemba 12, 2019.(PICHA NA IKULU)

No comments: