Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatakia Heri ya Christmas baadhi ya watoto Raia wa kigeni kutoka Nchi mbalimbali Duniani wanaotembelea Hifadhi za Taifa Serengeti Mkoani Mara wakati alipokutana nao jana Disemba 24,2019.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment