Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye ukumbi wa BoT jijini Mwanza Desemba 12, 2019. Kikao hicho kilipokea na kujadili namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyotekeleza Ilani ya uchaguzi ya 2015/20 na kuandaa Ilani ijayo ya chama ya 2020 -2025
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakipiga makofi wakati Mhe. Dkt. Magufuli akihutubia.
Meza kuu ikiungana na wajumbe wengine kuimba wimbo wa Chama mwanzoni mwa kikao hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama na Serikali wa Mkoa wa Mwanza wakati wa Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wa Chama mara baada ya Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment