ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 23, 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAGIZA VIJANA WENYE SHAHADA YA KWANZA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT “OPERESHENI MAGUFULI” WAPEWE AJIRA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma leo kuhusu ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa “Operesheni Magufuli” na masuala mbalimbali ya kiutumishi. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma leo
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma leo kuhusu ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa “Operesheni Magufuli” na masuala mbalimbali ya kiutumishi.

No comments: