Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiangalia mazoezi ya vitendo ya baadhi ya askari wa Jeshi Usu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) waliohitimu mafunzo ya utayari wa jeshi hilo katika eneo la Fort Ikoma Serengeti, mkoani Mara.
PICHA/ Aron Msigwa – WMU
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasili katika eneo la Fort Ikoma ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akikagua gwaride la heshima la askari wa Jeshi Usu waliohitimu mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) katika eneo la Fort, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara.
Gwaride la ukakamavu la askari wa Jeshi Usu waliohitimu mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) likipita mbele Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) eneo la Fort Ikoma Serengeti mkoani Mara.
No comments:
Post a Comment