Advertisements

Tuesday, December 10, 2019

RAIS MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA KATIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA

:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kukakamavu kuelekea jukwaa kuu baada ya kuikagua gwaride la heshima Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019
Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri zilizoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu December 9, 2019

Makomandoo wakifanyazoezi la kumuokoa mtu maarufu

No comments: