ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 6, 2020

DKT. ABBASI AKUTANA NA KUFANYA MZUNGUMZO NA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimueleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodom
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiagana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodoma. (PICHA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO)

No comments: