WAZIRI wa zamani wa Serikali ya awamu ya tatu, Iddi Simba amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa binti yake, Sauda Simba Kilumanga, Mzee Iddi Simba amefariki leo Alhamisi Februari 13, 2020 wakati akipatiwa matibabu kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment