ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 9, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA BALOZI KANALI IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Februari 8, 2020

No comments: