Kuna maendeleo gani yaliyopatikana ama kutokea kati ya juma lililopita na sasa?
Ni kweli kwamba takwimu za sasa zinaendana na wale wanaoamini kwamba huu ugonjwa hauwaathiri watu weusi?
Vipi kauli kwamba watu wa kundi la damu "A" wana hatari zaidi kuathirika ilhali wale wa kundi "O" hawaathitriki?
Wale wenye kisukari na shinikizo la damu, wana hatari zaidi kuathiriwa na hili?
Na wale wanaonyonyesha je?Vipi kuhusu matumizi ya Klorokwini yaliyotangazwa juma hili. Ni tiba?
Uvaaji wa mask nao uko vipi?
Na kuna kipimo cha damu cha maradhi haya?
Pia amegusia kuhusu dhana ya Flatern the curve na kutoa wito kwa jamii...
No comments:
Post a Comment