ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 4, 2020

MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM

Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa Ndg. Hamphrey Polepole akimpokea Mbunge wa Jimbo la Ole kwa Tiketi ya CUF Mhe. Juma Hamad Omar, baada ya kujiunga na Chama Cha Mapinduzi akitokea CUF na kukubaliwa ombi lake la kujiunga na CCM leo, wakati wa ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa kisiwani Pemba 
Wakati wa mkutano wa CCM Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo Ole kwa tiketi ya CUF Mhe. Juma Hamad Omar, akizungumza na Wanachama wa CCM, baada ya kupokelea na kujiunga na CCM , wakati wa ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa CCM Ndg. Hamphrey Polepole Kisiwani Pemba.

No comments: