ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 22, 2020

MASAUNI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.Kushoto ni Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar,kulia ni mkewe Thania Abdulla, fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akikabidhiwa maelekezo maalumu na Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,Garosi Nyimbo baada ya kufika Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na mkewe Thania Abdulla(kulia) wakati akiwasili Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM),kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar

No comments: