ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 6, 2020

ASHA ROSE BIRTHDAY NEW YORK


Keki ya Birthday ya Asha Rose wa New York, Ukataji wa keki hii ulianyika Bronx New York.

Asha alikuwa na marafiki zake kuchagiza ukati wa keki ya birthday yake usiku wa jumamosi 04 July.


Asha akikata keki pamoja na mdhamini wa pendo lake usiku huo
Asha akipata ukodak na dada yake Adella

Ukodak na wifi yake


Ukodak wa pamoja na marafiki, Kwa picha zaidi nenda soma zaidi hapa chini.



No comments: