Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo, aliposhiriki katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwa ajili ya kuhakiki na mustabali wa kutafuta na kumuweka Kiongozi Mpya wa Zanzibar kilichofanyika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar ambapo kila baada ya miaka mitano kinafanyika.
Baadhi ya Wajumbe kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha kabla ya kuanza kwa Kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambacho hufanyika kila baada ya miaka mitano kwa kuhakiki na kutafufa kumuweka Kiongozi mpya wa Zanzibar, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
Wajumbe kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kabla ya kuanza kwa Kikao cha siku moja cha kuhakiki na kutafufa kumuweka Kiongozi mpya wa Zanzibar, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi) (kulia) akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kufungua kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kwa ajili ya kuhakiki na mustakabali wa kutafuta na kumuweka Kiongozi Mpya wa Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhakiki na mustakabali wa kutafuta na kumuweka Kiongozi Mpya wa Zanzibar ambacho hufanyika kila baada ya miaka (kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhakiki na mustakabali wa kutafuta na kumuweka Kiongozi Mpya wa Zanzibar ambacho hufanyika kila baada ya miaka mitano.[[Picha na Ikulu].[Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment