Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiongoza kikao kati ya Menejimenti ya Wizara na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Ally Possi. Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasimimali Watu Bw.Benard Marceline akizungumzia kuhusu muundo wa wa utumishi katika kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi (Kulia),na Menejimenti ya Wizara na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu.Kushoto ni Bw.Rodney Thadeus Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari -MAELEZOAfisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) Bi.Doreen Sinare (kushoto) akijadiliana jambo na viongozi wa chama wakati wa kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi na Menejimenti ya Wizara pamoja na chama hicho leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma, mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake