Msanii Diamond Platinumz akitumbuiza kwa wimbo wa "Magufuli Baba Lao" wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020
Mama Janeth Magufuli, Mke wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimtuza msanii Bob Haisa alipotumbuiza wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana akielekea jukwaa kuu kusalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020, ikiwa ni siku moja baada ya chama hicho tawala kumsamehe baada ya kuomba radhi kwa makosa aliyoyafanya miezi kadhaa iliyopita.
Msanii Zuchu akitumbuiza katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020
Msanii Bill Nass na wenzie wakitumbuiza katikanMkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020
Kwaya ikitumbuiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020
Msanii nguli wa Bongo Fleva Ali Kiba akitumbuiza wajumbe katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020
No comments:
Post a Comment