ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 13, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AMETOWA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA HAJI NASSIN HAJI NYANYA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na familia ya Marehemu Haji Nassib Haji (Nyanya) alipofika nyumba kwa marehemu bububu kwa nyanya alipofika kutowa mkono wa pole kwa Familia (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na aliyejifunika kanga Mjane wa Marehemu Bi.Zainab Nyanya.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ya kumuombea Marehemu Mzee Haji Nassib Haji Nyanya na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Wanafamilia wakiitikia dua, alipofika kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu nyumbani kwake Bububu kwa Nyanya.(Picha na Ikulu)

No comments: