ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 7, 2020

MAJALIWA AKAGUA UPANUZI WA BANDARI YA MTWARA

Eneo la bandari ya Mtwara linalopanuliwa katika maboresho yanayofanywa na serikali ili kukuza uwezo wa bandari hiyo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua upanuzi huo Julai 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Julai 7, 2020 amekagua kazi ya upanuzi na uboreshaji wa bandari ya Mtwara. Pichani ni kazi za upanuzi na uboreshaji wa bandari hiyo. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua upanuzi na uboreshaji wa bandari ya Mtwara Julai 7, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa na katikati ni Meneja wa Bandari ya Mtwara, Mhandisi Juma Kijavara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: