Advertisements

Thursday, July 9, 2020

MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA BALOZI JOB LUSINDE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya kifo cha Marehemu Balozi Job Lusinde nyumbani kwa marehemu Uzunguni Jijini Dodoma leo Julai 09,2020 alipofika kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu mzee Job Lusinde. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mjane wa marehemu Mzee Job Lusinde Bibi Sarah J. Lusinde alipofika nyumbani kwa marehemu Uzunguni Jijini Dodoma leo Julai 09,2020 kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu mzee Job Lusinde.

No comments: