ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 8, 2020

ZIMAMOTO WATEMBELEWANA BENKI YA NMB MAKAO MAKUU

Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) John Masunga, akiongea na Maafisa wa Benki ya NMB Makao Makuu waliotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi (Hawapo Pichani).
Meneja Mwandamizi Kitengo cha Wateja binafsi na Taasisi za Ulinzi na Usalama wa NMB Makao Makuu Bwa. Emmanuel Mahodanga, akitolea ufafanuzi jambo fulani aliloulizwa kwenye kikao, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mapema leo asubuhi.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo na Maafisa wa Benki ya NMB Makao Makuu mapema leo asubuhi tarehe 08/07/2020. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

No comments: