Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifungua pazia kama ishara ya kulifungua Jengo la Dahalia la Kituo cha Wanawake cha Kufundishia Utengenezaji wa Vifaa vya Umeme wa Jua katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico,[Picha na Ikulu].8/8/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata Utepe kama ishara ya kulifungua Jengo la Dahalia la Kituo cha Wanawake cha Kufundishia Utengenezaji wa Vifaa vya Umeme wa Jua katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico,[Picha na Ikulu].8/8/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea ZAWADI maalum kutoka kwa Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) ,[Picha na Ikulu].8/8/2020. Balozi Mdogo wa India Mhe.Baaguans SIGH alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 8/8/2020. Baadhi ya Wananchi wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 8/8/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) ambacho kinatengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua,katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico,[Picha na Ikulu].8/8/2020.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake