RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. Bi. Sabra Issa akitowa maelezo baada ya ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba, uliofanyika leo 5/8/2020.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba leo 5/8/2020.(Picha na Ikulu) WANANCHI wa Wilaya ya Mkoani Pemba wakifuatilia hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Hoteli ya ZSSF Mkoani Pemba uliofanyika leo 5/8/2020,mkutano huo umefanyika katika uwanja wa zimamoto Mkoani Pemba(Picha na Ikulu) WAFANYAKAZI wa ZSSF wakishangilia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba baada ya kumalizika kwa ukarabati wake.(Picha na Ikulu)MUONEKANO wa Hoteli ya Mkoani Pemba iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake