Thursday, August 6, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO YA NANENANE VIWANJA VYA CHAMANANGWE PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Idara ya Uvuvi Pemba Bi. Hidaya Khamis, akitowa maelezo jinsi ya ufugaji wa Pweza, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane, baada ya kuyafungua rasmin leo 6/8/2020 katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Idara ya Uvuvi Pemba Bi. Hidaya Khamis, akitowa maelezo jinsi ya ufugaji waKamba, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane, baada ya kuyafungua rasmin leo 6/8/2020 katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia na kufurahia akiwa na nyundo na kijembe wakati alipotembelea banda la maionesho la Chuo Cha Mafunzo Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea mabanda ya Maonesho ya Kilimo ya Nanenane,(kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi. Maryam Juma Mabodi,  baada ya kuyafungua rasmin leo katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa ameshika mfuko ukiwa na Unga wa Shelisheli, wakati akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Usarivu Mazao ZanzibRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Kilimo Pemba Ndg. Amour Juma, akitowa maelezo ya Kilimo Darasa, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
WASANII wa Kikundi Taarab cha Wajelajela wakitowa burudani wakiimba wimbo maalum wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayifanyuika katika Uwanja wa Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala (Mabodi) akitowa maelezo ya Kitaalam wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Manenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) maonesho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hay oleo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake