Wednesday, September 16, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT. MAGUFULI ALAKIWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MJINI BUKOBA

Jinsi mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alivyopokelewa kwa shangwe na nderemo alipowasili mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu ya wananchi maeneo mbalimbali wakati akielekea mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayari tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo
Taswira za wananchi wa maeneo mbalimbali wakati Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea mkoani Kagera akitokea mkoa wa Geita tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo Jumanne Septemba 15, 2020

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake