Thursday, September 17, 2020

UFUNGUZI WA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM UWANJA WA GOMBANI YA KALE CHAKECHAKE PEMBA

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwapungia mkono na
kuwasalimia Wanachama wa CCM katika Uwanja wa Gombani ya Kale wakati
akiwasili katika uwanja wa Gombani ya Kale Pemba wakati wa ufunguzi wa
Kampeni ya CCM Pemba leo 16/9/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ali
Hassan Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Ndg. Hamad Mberwa alipowasili katika uwanja wa Gombani ya Kale Pemba
kuhudhuria Ufunguzi wa Kampeni za CCM Pemba.(Picha na Ikulu) MSANII wa Kikundi cha Taarab cha Profesa Gogo akitowa
burudani wakati wa Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM zilifanyika
katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)MSANII wa Bongo Flava Nandy akitowa burudani wakati wa hafla ya mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba leo 16/9/2020.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake