Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa
Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Bukoba Vijijini
Mhe. Jason Rweikiza huku wabunge wateule wa CCM Viti maalum wakingoja
zamu zao baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika
mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa
Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya
Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Wasani wa TMK wakiwa na alama kuu za CCM bnaada ya kutumbuiza
kwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo
Septemba 16, 2020Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa
Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Bukoba mjini na Waziri wa
Maliasili na Utalii Mstaafu Balozi Khamis Juma Suedi Kagasheki
akimnadi Bw. Stephen Byabato (aliyejishika mikono) kugombea ubunge wa
jimbo hilo huku Meya Mstaafu wa Manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani
(kulia) akingoja kufanya hivyo katika viwanja vya Gymkhana mjini
Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa
maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya
Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa
Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongoza sala ya kuombea wanafunzi 10 waliofariki
na wengine kujeruhiwa kwa ajali ya moto katika Shule ya Msingi Islamic
Byamungu iliyopo kata yaIrera Wilayani Kyerwa mkoani Kagera iliyotokea
majuzi kabla ya kuanza kwa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya
Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya
wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana
mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake