DKT.HUSSEIN MWINYI RAIS MTEULE SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr.Hussein Mwinyi wa CCM kuwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif wa ACT Wazalendo mwenye kura 96,103 sawa na 19.87%.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake