Thursday, October 8, 2020

KAMISHMA WA USHIRIKISHWAJI WA JAMII WA JESHI LA POLISI, DKT MUSSA ALI MUSSA ZIARANI MTWARA.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akimsikiliza Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi, Dkt. Mussa Ali Mussa alipofika ofisini kwake kukutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo akiwa kwenye ziara ya kikazi mikoa ya Kusini kufanya ukaguzi ili kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 unafanyika salama na kwa amani.
Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii, Dkt. Mussa Ali Mussa akitoa maelekezo ya kiutendaji kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Mark Njera pamoja na baadhi ya Makamanda wa Polisi wa Wilaya.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake