Friday, October 2, 2020

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AUNGURUMA TUNDUMA MKOANI SONGWE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma wilaya ya Momba Mkoani Songwe katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Julius Nyerere mjini Tunduma. (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE BLOG)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi kabla ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya msingi Julius Nyerere Mjini Tunduma wilaya ya Momba Mkoani Songwe Maelfu ya wananchi wa Tunduma wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Shule ya msingi Julius Nyerere ili kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahahutubia

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake