Tuesday, October 20, 2020

Tanzia: Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Afariki Dunia

MKE wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Balozi Ahmed Salim Ahmed, Bi Amne Rifai Salim, amfariki dunia leo, Jumanne, Oktoba 20, 2020.

Mwili wa marehemu unahifadhiwa Msikiti Maamour na maziko yatafanyika kesho kutwa siku ya Alhamisi, Oktoba 22, 2020 katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya swala ya adhuhuri katika Msikiti Maamour Upanga jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake