Jumuiya ya Watanzania waishio katika jiji la Houston , Texas na vitongoji vyake siku ya Jumamosi tarehe 14/11/2020 katika viwanja vya Cullen Park walifanya Mkutano wa Uchaguzi kuchagua viongozi watakaoiongoza jumuiya hiyo kwa kipindi cha miaka miwili ijayo. Uchaguzi huo ambao kikatiba ulitakiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka jana ulikuwa ukiahirishwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuibuka kwa gonjwa hatari la COVID19. Katika Uchaguzi huo uliokuwa huru na wa HAKI WanaTHC waliwachagua wajumbe wafuatao kuwa viongozi wa jumuiya kwa kipindi cha kuanzia January 1st 2021 - December 31st 2022.
EXECUTIVE COMMITTEE
Bw. Anthony Ndibahyukao Rugimbana - Rais wa THC
Bw. Hamis Khalfan Machaparty - Makamu wa Rais THC
Bw. Castor Mwanjesa - Katibu Mkuu wa THC
Bi. Angela Lyimo - Muweka Hazina wa THC
Bw. Shaibu Said Kikoti - Afisa Mawasiliano wa THC
Anthony Rugimbana - Rais THC |
Hamis Khalfan - VP THC |
Castor Mwanjesa - General Secretary |
Dr Angela Lyimo - Treasurer |
Shaibu Saidi Kikoti - PR Officer |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake