RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji, hafla hiyo imefanyika leo 4/11/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk. Mwinyi Talib Haji, baada ya kumuapisha leo 4/11/2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk. Mwinyi Talib Haji, baada kumuapicha leo 4/11/2020 hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake