ANGALIA LIVE MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS JUMUIYA YA WATANZANIA DMV 2021
1 comment:
Anonymous
said...
Asante Moderator kwa kazi nzuri. Binafsi nadhani mgombea pekee mwenye vision bora kati ya hao watatu ni huyu ndugu Deo Shija. It is true that hajakaa miaka mingi hapa Marekani, but that shouldn't be the disqualifying factor. Nimesikiliza kwa makini hoja zao wote na kubaini kuwa kaka Pius na dada Angela hawana jipya. Kimtazamo itakuwa DeJavu! It is time for fresh mindset. Katika debate, nilishangazwa kumsikia brother Pius akigamba kuwa "polls" zinaonyesha kuwa yeye yupo juu kwa asilimia Themanini(80% up)? Nani alifanya hii polling? Wana DMV tuache haya mambo yaliyopitwa na wakati. Najua kuna tatizo la ukabila katika jumuia (It is an undeniable fact). Of course, mgombea Pius anayo advantage kubwa kwa uwepo wa wana DMV wengi wa kabila lake. Kama tutamchagua mgombea kufuatana na popularity na siyo vision yake basi we are deemed to fail, na hamna faida ya kuwa na jumuia. Mambo ya parties, barbacues, etc are meaningless unless kero na changamoto za maisha ya Wana-DMV wengi (Not the fortunate few) zinakuwa addressed and resolved. Let the best CANDIDATE PREVAIL!!
1 comment:
Asante Moderator kwa kazi nzuri.
Binafsi nadhani mgombea pekee mwenye vision bora kati ya hao watatu ni huyu ndugu Deo Shija. It is true that hajakaa miaka mingi hapa Marekani, but that shouldn't be the disqualifying factor. Nimesikiliza kwa makini hoja zao wote na kubaini kuwa kaka Pius na dada Angela hawana jipya. Kimtazamo itakuwa DeJavu! It is time for fresh mindset.
Katika debate, nilishangazwa kumsikia brother Pius akigamba kuwa "polls" zinaonyesha kuwa yeye yupo juu kwa asilimia Themanini(80% up)? Nani alifanya hii polling? Wana DMV tuache haya mambo yaliyopitwa na wakati. Najua kuna tatizo la ukabila katika jumuia (It is an undeniable fact). Of course, mgombea Pius anayo advantage kubwa kwa uwepo wa wana DMV wengi wa kabila lake. Kama tutamchagua mgombea kufuatana na popularity na siyo vision yake basi we are deemed to fail, na hamna faida ya kuwa na jumuia. Mambo ya parties, barbacues, etc are meaningless unless kero na changamoto za maisha ya Wana-DMV wengi (Not the fortunate few) zinakuwa addressed and resolved. Let the best CANDIDATE PREVAIL!!
Post a Comment