Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima leo amekutana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya duniani (WHO) Dkt. Tigest Ketsela katika ofisi za Wizara jijini Dodoma na kupanga tarehe ya kukutana ili kujadili namna Tanzania itakavyoshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa masuala ya Afya utakaofanyika kuanzia tarehe 24 Mei mwaka huu jijini Geneva nchini Uswisi.
No comments:
Post a Comment