ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 9, 2021

RAIS MHE.SAMIA SULUHU AMKABIDHI NYUMBA MPYA YA KUISHI RAIS MSTAAFU DKT.JAKAYA KIKWETE KWA MUJIBU WA SHERIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria leo tarehe 09 Mei, 2021.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. PICHA NA IKULU

No comments: