ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 11, 2021

RAIS MWINYI AISHUKURU OFISI YA RAIS UTUMISHI NA UTAWALA BORA KWA USHIRIKIANO MZURI NA SMZ KATIKA MASUALA YA TASAF, MKURABITA NA AJIRA

  

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (MB) (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe.Deogratius Ndejembi.(MB) na Maofisa wa Wizara hiyo (hawapo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

MKURUGENZI Mkuu wa TASAF.Ndg.Ladislaus Mwamanga akitowa maelezo ya mafanikio ya Mradi wa Tasaf, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Ujumbe wao ukiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Mohamed Omary Mchengerwa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

MKURUGENZI wa Mkuu wa Mkurubata Dkt.Seraphia Mgembe akizungumza wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Omary Mchegerwa na Maofisa wengi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo (MB) Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments: